Nyumba kubwa unfinished inauzwa SALASALA KINZUDI shilingi million 45 bei inaongeleka. Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1100 pamepimwa na ulasimishaji. Nyumba iko umbali wa km 1.5 kutoka salasala mwisho wa lami.
Note: Inquiry charge may change based on property owner interests.