Eneo lenye Nyumba ya Vyumba 4 linakodishwa.Linafaa Kwa Biashara ya Dispensary/Nursery School/Guest House etc.Eneo hili liko sehemu nzuri karibu na Barabara ya Lami.Bei ni Makubaliano kati ya mteja na Mwenye nyumba.
Features
Water
LUKU
Parking
Address
Address:
Kiwalani, Tanzania
Ward:
Minazi Mirefu
District:
Ilala
What's NearBy
Other
Daladala Stand (Kituo Cha Daladala) kwenda Kariakoo/Buguruni/Muhimbili