Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi(Mbande),kipo karibu na barabara. Kiwanja kina nyumba ambayo haijakamilika. Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa eneo:Sqm 301.5 Nyaraka: Hati ya mauziano ya serikali ya mtaa. Bei: Milioni 13, maongezi yanaruhusiwa. Gharama ya kwenda kuona eneo(site visit) 30,000/= Mawasiliano: 0767 833345 0784 829565 @prathlimited