Nyumba inauzwa Kibaha maili moja (mtaa wa mkoani B kwa dachi) shilingi million 60 bei inaongeleka. Vyumba viwili ni master bedrooms. Ukubwa wa kiwanja ni sq mita 996 na ina hati miliki kutoka wizara ya ardhi. Nyumba ipo umbali wa km 1 tu kutoka lami (morogoro road).