Nyumba inauzwa Kimara suka golani. Bei ni million 68 maongezi yapo. Ukubwa wa kiwanja ni sq mita 500 umbali kutoka lami (morogoro road) ni km 2.5, pamepimwa urasimishaji.
Features
Water
LUKU
Sitting Room
Kitchen
Pet friendly
Parking
Address
Address:
Kimara Suka, Kimara Suka, Discover street, Dar es, Tanzania