Nyumba inauzwa pamoja na frem zake 5 za biashara kimara temboni, km 1 kutoka lami. Bei ni million 120 maongezi yapo. Ukubwa wa eneo ni urefu mita 40 na upana ni mita 30. Ina hati safi ya mauziano kutoka serikali ya mtaa. Kuoneshwa nyumba hii ni elfu 30.