Nyumba inauzwa kimara temboni shilingi million 100 bei inaongeleka. Vyumba viwili ni master bedrooms. Ukubwa wa eneo ni sq mita 750. Nyumba ina hati. Kuoneshwa nyumba ni shilingi elfu 50.
Note: Inquiry charge may change based on property owner interests.