Nyumba ghorofa moja(01) inauzwa Mikocheni karibu na kanisa la mama Rwakatare. Ina vyumba vinne(04) master bedroom moja(01) Ukubwa wa eneo sq mita 700. Ina hati na mmiliki mmoja.
Features
Water
LUKU
Water heater
Air condition
Sitting Room
Kitchen
Pet friendly
Parking
Address
Address:
Msikitini Street, Dar es Salaam, Tanzania